Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina, ambaye alichukua madaraka kufuatia maandamano ya Oktoba 2025, amemfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri siku ya Jumatatu Machi 9, 2026, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wake.
Aidha taarifa hiyo iliyotolewa na Harry...