Wanabodi,
Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani.
Hii ya kumjua rais ajae kabla ya mwaka wa uchaguzi, kuna watu wanaita ni unabii, hivyo sisi jf, tunao...
Tanzania inatafuta Rais bora zaidi ya wote kwa muhula wa 2030-40, Je vyama vyetu vya Siasa vitatupa wagombea tunaowataka sisi au kinyume chake?
====
1. Rais ajae lazima awe ni mtu ambae ukiitazama staili yake ya maisha anayoishi ukihusianisha na hali na umasikini wa nchi yetu utakubaliana...