rais maduro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  2. Rais Maduro na vita ya maneno dhidi ya kanisa katoliki

    Tangu aingie madarakani mwaka 2013, Rais Nicolás Maduro amekuwa na uhusiano wenye migogoro mizito na Kanisa Katoliki nchini Venezuela. Wakati Kanisa likijitambulisha kama mtetezi wa haki za binadamu na sauti ya maskini, serikali ya Maduro imekuwa ikilitazama Kanisa kama "adui wa kisiasa." 𝟭...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…