rais kikwete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli tata ya Rais Kikwete

    Miongoni mwa kauli tata za aliyekuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ni pamoja na hii ''Uliwe kwanza ndipo ule, usipokubali kuliwa hautakula. Akimalizia kwa kusema sina maana hiyo. Soma pia: Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia
  2. GE2025 Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

    Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete...
  3. Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika. Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
  4. Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  5. Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  6. Rais Kikwete aombwa kulivunja tena baraza lake la mawaziri

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri kisha awaondoe wanaotajwa kuwa mizigo. Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa Rasimu ya Sera ya Chadema ya Mabadiliko ya Tabianchi, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika...
  7. Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

    JK amteua Zitto Kamati ya Madini MWANDISHI WETU Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Jaji Mark Bomani na kuongoza Kamati ya Kuangalia upya Mikataba ya Madini, ikijumuisha wabunge wawili wa upinzani na wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya Ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…