rais aliye madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Aliye Madarakani Kushindwa Kuitikia Wapinzani na Kushindwa Kutatua Changamoto za Uchaguzi

    Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
  2. Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  3. Kwanini Freemasons wanapenda kuwaweka viganjani mwao Marais wa dunia na ukiwakataa kamwe hudumu au unapatwa na changamoto?

    Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika. Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa Tanzania halafu labda nikawa na Shughuli / Hafla Uwanja wa Uhuru huku Watu wakiwa wengi moja ya Sharti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…