Raia wa Gaza sasa akili zimerudi
Waikataa Hamas lakini Hamas wamewamininia risasi waandamanaji. Trump alisema Hamas itaenda kuishi kuzimu, huenda maneno yake yanaenda kutimia. Viongozi wa Hamas hawana pa kujificha tena, maana kila sehemu wanakoenda wanauawa. Israeli juzi ililipua hospitali ya...