Nakumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa anawatukana mapadre kwa kuungamkono chanjo na kuongea nao kwa dharau na kejeli. Kumbe wenzake wanaongea na Mungu! Hiyo hiyo covid ndiyo ilichangia kumuondoa.
Sasa Mama Samia yeye anajificha nyuma ya hawa watekaji. Polisi wanadiriki kupiga mpaka waumini...