Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie...