Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo.
Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi...