Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amewataka Watanzania kuondoa dhana kwamba uwekezaji ni wa watu wenye kipato kikubwa au wageni pekee, akisisitiza kuwa kila mmoja ana nafasi ya kuwekeza ndani ya nchi.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam siku ya Jumanne...