Leo, Baraza la Jumuiya ya Wazazi la Wilaya ya Musoma Vijijini limemtunuku Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, TUZO ya PONGEZI kwa kutambua ushiriki wake na mchango wake mkubwa wa fedha kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika tarehe 27.11.2024...