Probox ni gari maarufu sana East Africa, nadhani ni kwasababu ya durability, space kubwa ya kubeba mizigo na abiria etc.
Sasa ndugu zetu Wakenya sijui wanazitumia vibaya? Maana kwenye page ya Wikipedia imeonekana kama madereva wake ni reckless na hawafuati sheria, pia inatumiwa na corrupt...