Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote.
Nilitegemea aseme sasa ndugu zangu, CNN si wamesema kuna makaburi ya halaiki...