President William Ruto ameonekana kujibu kwa ukali kile alichokitaja kama "continuous attacks" kutoka Standard Media Group kuhusu utendaji wa serikali yake.
Kupitia ujumbe uliosambaa mtandaoni, Ruto alisema kuwa headlines za Standard ambazo zimekuwa zikiangazia changamoto za serikali yake ni...