Natafuta fundi wa Invetor Pure sine wave, Ina Tatizo dogo la Umeme Hautulii na display yake ina blink wakati relay nayo inakuwa ina funga na kufungua hivyo kunakuwa na On and Off in multiple seconds.
Fundi awe Dar es Salaam. Ani PM namba tuzungumze. Hata mwenye kumfahamu akinidondoshea Namba...