ponda issa ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Ponda Issa: Tushirikiane kupinga sheria kandamizi

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania ambaye ni mwanachama wa ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito wa umoja na ushirikiano kwa Watanzania wote katika kupinga kile alichokiita sheria kandamizi. Akizungumza na Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu...
  2. PreGE2025 Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo. === Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…