pombe feki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

    Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea. Wile Karimo, Kalittle na Wachina mtaua ndugu zetu. NB: Pombe kali feki kwa bei ya pombe OG kuweni na huruma
  2. JamiiForums Tanzania TBS mko wapi pombe feki zimetapakaa mtaani?

    Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k Mtanganyika...
  3. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant. Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Manyara wagundua kiwanda bubu cha kuzalisha pombe kali feki, watumia jina la Konyagi

    Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi. Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…