polisi simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Kuhusu madai ya kubeba wanachama wa CCM. Polisi Simiyu wasema walisaidia kubeba Wananchi walioharibikiwa gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya...
  2. Simiyu: Mwandishi akamatwa na Polisi

    Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024. Baada ya kukamatwa Polisi walikwenda kukagua Nyumbani kwake na wakachukua vifaa vyake vyote vya kazi ikiwemo simu la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…