polepole atekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunaenda Kumaliza Mwezi bila balozi Polepole kujua Yuko Wapi? It's not Fair

    Tunaenda kumaliza mwezi bila kujua Polepole yuko wapi mazingira gani. Kibinadamu hili ni Jambo la ovyo sana kama nchi sio jambo la kujivunia. Please huyu kijana kama ana makosa ni vyema alitakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria na watu waliofanya kazi na Polepole mko kimya mnajiskiaje...
  2. Nchi yetu ya ajabu kweli yaani Polepole ndo kasahaulika kama akina Mdude na Saanane!!!

    Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani...
  3. Dada wa Humphrey: Niliwekwa kizuizini na kupigwa Naibu Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar (Bagyemu)

    Katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, mawakili wake wameiomba Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ipokee ushahidi wa mdomo kutoka kwa Christina Polepole — dada wa Humphrey — aliyedai kuwekwa kizuizini na kupigwa na maofisa wa Polisi...
  4. GE2025 Tundu Lissu: Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?

    Mhe. TunduALissu anauliza; 1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao? 2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu? ========================== Baada tu ya kuingia kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya...
  5. Kaka wa Polepole karibu mchezoni. Kumbuka kanuni ni zilezile hazijabadilika

    Tumepokea ujumbe wako kwa mikono miwili. Mchezo ndio kwanza umeanza. Naamini umejipanga vizuri na utatupa ushindani kuliko ndugu yako. Lile kundi unalolitegemea la redcross 26 usiliamini sana maana tayari lipo chini ya udhibiti wetu. Mipango yao haitoshi kuwaamini. Yule mwanadada wa nje ya...
  6. Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

    Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake. Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole
  7. B

    Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

    09 October 2025 Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa...
  8. Popote alipo H. Polepole tunawataka msimzuru huyu kiumbe

    Inasikikitisha sana nchi hii tumekosa uhuru ndani ya Tanganyika yetu, mtu unatembea barabarani ukiwa na mashaka ya kutekwa, hata unapolala pia ni mashaka tupu ujui kama jua la kesho utaliona. Ukimsikiliza Mama yake Polepole na familia yake inavyozungumza kwa masikitiko makubwa inaudhunisha kwa...
  9. S

    CCM na jumuiya zake zote kimyaaa! Aliyekuwa mwenezi wa CCM ametekwa lakini hawatoi hata tamko. Wamekubali chama Chao kutekwa na wahuni

    Inasikitisha, inaogopesha na kuogofya sana. Wahuni wameiteka ccm na wanaCCM wameufyata. 1. Mwenyekiti wao akiwa madarakani (Magufuli) aliuliwa na wahuni kama alivyosema Polepole, lkn ccm kimyaaa! 2. Aliyekuwa mwenezi wa CCM, ni zaidi ya masaa 24 yamepita tangu atekwe, CCM kimyaaa! Hakuna...
  10. Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

    BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa. Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
  11. GE2025 Bashe wa 2017 alikemea utekaji akitaka Sheria ifuatwe. Je, Bashe wa sasa anaweza kutamka hayo?

    Wakuu, Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji." April 10 akiwa bungeni aliweka hoja mezani akiomba bunge liahirishe...
  12. Akaunti za mitandao ya kijamii (FB & IG) ya Humphrey Polepole haipatikani tena

    Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
  13. Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  14. Wakili Peter Kibatala, azitaka mamlaka za usalama nchini kutoa hali ya usalama ya Polepole inajulikana na kuwekwa wazi kwa umma

    Wakili maarufu Peter Kibatala, ametaka mamlaka za usalama nchini Tanzania kutumia rasilimali zote kuhakikisha hali ya usalama wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole inajulikana na kuwekwa wazi kwa umma, kufuatia taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa huyo ametekwa. Kupitia...
  15. Polisi: Bado tunasubiri Polepole aripoti Ofisi ya DCI; taarifa za kutekwa kwake tumeanza kufanyia kazi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai. Ndg. Humphrey Polepole alitumiwa barua ya wito kwa mujibu wa Sheria za nchi aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi...
  16. PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Picha za Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia na kuzungumza LIVE na Watanzania, akionekana na Ile Black Screen nyuma. Soma: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
  17. Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

    Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025. ‎Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa...
  18. Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika.... "Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…