Wakuu,
Swali lipo juu ya meza hilo hapo.
Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?
Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na hauikati wala nini.
Upo nyumbani leo Jumapili simu ipo kwenye chaji labda inaita muda mwingi ila wala...