POLEPOLE ameeleza kuwa miradi ya maendeleo ya ujenzi nchini haitekelezwi ipasavyo, ukweli wa mambo unaonesha kinyume chake.
Kwa mtazamo wa kitaifa, utekelezaji wa miradi mbalimbali unaendelea kwa kasi na umakini mkubwa.
Serikali inaendelea kuboresha miundombinu, sekta ya afya, elimu, nishati...