Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ?
Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind
Hii inasababishwa na...