Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa na kurekodiwa
Izo picha na video ni kwaajili ya nini?
Mwijaku anachofanya ni kuua destiny za hawa watoto wa kike.
Mfano hawa mabinti wote unafikiri nani atakaa aoe wanawake wa sampuli Kama hizi.
Ukiachana na Mwijaku kuendeshwa na ngono Ila bado hajui kuwa privacy is power .
Mwanake Anategema past yake ili aolewe Ila mwanaume hategemei past wala...