Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images
Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=)...