picha mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kina dada wanaopost picha za ovyo mtandaoni na kulalamika matapeli kutumia picha zao wanastahili adhabu kali

    Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni...
  2. Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  3. Picha ni kumbukumbu nzuri, lakini wanaume tupunguze kujipost mitandaoni

    Salaam jamiiforum Habari za jumapili hope mko wazima. Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti. Mtu akiwa mtoto, akiwa anaanza shule, kupata ubatizo na kipaimara, kuhitimu...
  4. Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…