Kwenye pitapita zangu za social media nilikuta video inayouliza swali hilo. Nikaanza kuwaza. nimegundua kila nikianza tu kusikia bored nafungua simu, nascroll insta, nasoma nyuzi za huku JF, nasikiliza muziki, naangalia movie. Ni kama kizazi chetu kilifanyikiwa kuua boredom.
Inasound kama kitu...