Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema...