Chelsea wameweka thamani ya pauni milioni 100 (sawa na shilingi bilioni 400) kwa Pedro Neto iwapo klabu hiyo itaamua kumuuza winga huyo Mreno katika dirisha hili la usajili.
Pedro mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akivutia vilabu kadhaa kutoka Premier League na nje ya England, huku Al Hilal ya...