pawa ya mbosso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wimbo wa PAWA wa Mbosso wamfikisha mwalimu wizarani

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imempongeza Mwalimu Jao Kalesi wa Shule ya Msingi Kazita, wilayani Muheza mkoani Tanga, kwa ubunifu wa kutumia muziki kufundishia wanafunzi darasani. Mwalimu huyo ametumia wimbo maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Mbosso Khan, uitwao Pawa, kuingiza maudhui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…