"Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio vile vya kufikiria tu, kutaka kupata gari kupata nini... hapana, ni mahitaji ya msingi, mahitaji ya...