Mjadala wa kisiasa uligeuka kuwa vita vya maneno baada ya Mbunge wa Naivasha Jayne Kihara na Mwakilishi wa Wanawake Nairobi Esther Passaris kukwaruzana vikali mubashara runingani.
Wabunge hao walikuwa kwenye kipindi cha TV47 Alhamisi, Agosti 20, 2026, wakijadili uchochezi wa kisiasa kuelekea...