Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Serikali kuingilia kati suala la Kampuni inayohusika na kukamata wanaoegesha vibaya vyombo vya usafiri vya moto (wrong parking), akidai huduma zao sio nzuri na pia Faini ya Tsh. 80,000 haendani na kosa, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika...