padri camilus nikata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAUT-Mwanza watoa tamko la kutoonekana kwa mtumishi wao Padre Nikata

    TAARIFA KWA UMMA:Kutoonekana kwa Mfanyakazi wa Chuo Padre Camilus Nikata.Tunaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu amkinge na maovu yote, amwimarishia ulinzi na kumwongezea usalama Padre Nikata Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kimepokea kwa mshutko mkubwa taarifa iliyotolewa na...
  2. Jeshi la polisi Ruvuma: Tunaendelea na upelelezi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata Mhadhili wa Chuo Kikuu SAUT

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na Upelelezi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo kuu Songea ambaye pia ni Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) Mwanza. Akiongea Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…