💀Mzimu wa Pontianak kutoka Malaysia
Pontianak ni mzimu kutoka Malaysia mzimu huu ni wa mwanamke aliyekufa wakati wa kujifungua.
Mzimu huu wa mwanamke mara nyingi hujigeuza kuwa msichana mrembo ili kuvutia wahasiriwa wa kiume, kisha huwararua kwa kucha ndefu na kula viungo vyao vya ndani...