Habari zenu wakubwa!
Naomba msipuuzie andiko langu, tafadhali!!
Niliyepo mbele yenu ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Dar Es Salaam - Tanzania.
Naandika makala hii mbele yenu kwa lengo moja tu - la kusaidiwa kupata nafasi ya kazi.
Kidato cha nne ndio ukomo wa elimu rasmi...