ombaomba dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Watoto wote wa mtaani vichaa na waokota Makopo wote wameuawa?

    Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja Samia kaua watoto wote wa mtaani Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu...
  2. Ombaomba Dar es Salaam ulemavu mchongo mjini

    Serikali ingelitazma ili la omba omba wanaziba misaada ya watu wengine (hivi mbona kuna vituo vya watoto yatima kwanini kusiwe na vituo vya walemavu na wazee ambao hawajiwezi labda ambao hawana ndugu kuliko kukaa mtaani wanadhurura na kuomba omba. Halafu ombaomba ni mchongo kwa mijini maana...
  3. Z

    Mbinu mpya ya ombaomba

    Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato. Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao. Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…