Lamine Yamal ana kipaji cha asili (talent), Michael Olise ana ubunifu wa kipekee (flair) uwanjani, lakini Khvicha Kvaratskhelia ndiye mchezaji anayechanganya vitu vitatu muhimu kwa kiwango cha juu: uthabiti (consistency), kuibuka kwenye mechi kubwa (big games mentality), na kuwa na athari ya...