Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale.
Tena nilivyo jaribu kutumia browser ya Firefox ndo ikaleta warning kabisa.
Tunaomba msaada kwenye hili...