Charles Odero Okumu is a former defender currently serving as the head coach at Kenyan Premier League side Muhoroni Youth.
He previously served as head coach at Kenya premiership side Chemelil Sugar, at second tier side AP Bomet before moving to Wazito FC (later renamed Muhoroni Youth).
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni,
Soma Pia:
Odero...
"Kilichotokea Oktoba ni funzo kwetu na matatizo ya muda mrefu ambayo yanahitaji hatua za dharura, za kati na za muda mrefu kuzitatua kwa sababu unapokuwa katika taifa ambalo linakuwa na Sonona ambayo imesababishwa na mambo mengi...endapo akishawishika ni rahisi sana kutokana na hali yake kukosa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini kimemsimamisha Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Odero Charles Odero kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili.
Odero ambaye alikuwa miongoni mwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya Chadema...