Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017).
Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy.
Mara... taratibu story ikaanza kubadilika along with my mood 😵😮💨
Elements za kile kilichotokea Malawi Oct...