Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema!
Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA.
Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...