KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE !
Sehemu ya pili
( DOGOLI KINYAMKELA ☠️ 💀 (Dr)
Ukweli ni kwamba Nyota haiibiwi, nyota inadhibitiwa/inachafuliwa/inafunikwa au inamalizwa nguvu na wewe mwenyewe binafsi kulingana na matendo yako, mazingira au watu unaohusiana nao hasa uhusiano...