nuh mziwanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Familia ya Nuh Mziwanda , naomba Mjaribu kumsaidia kijana wenu kabla hajajiua

    Huyu msanii anaitwa Nuh Mziwanda namfahamu mama yake ni MTU wa dini. Kama familia mnaweza mpeleka kwenye kituo cha matibabu ya akili na vilevi (Sober rehabilitation) Tofauti na hapo either atajiua , Au kuua na pia atachanginikiwa akili moja kwa moja. Msisubiri afike huko...
  2. Chino Kid amjibu Nuh Mziwanda 'Njoo studio kaka mkubwa, acha kuwapa watu faida kakaangu'

    Msanii wa Bongo fleva @chino_kidd7 baada ya kuona ujumbe alioushea Msanii @iam_mziwanda akiwataka baadhi ya Wasanii wenzake kuweza kumsaidia wapate wimbo wa pamoja ili arudi kwenye game. Chino Ameguswa na suala hilo na kumtaka Nuh aje Studio ili warekodi wimbo pamoja na kumtaka aache kuwapa...
  3. Hili somo naomba liwafikie masikini wote ila muhimu lisikose kumfikia Nuh Mziwanda the hit maker wa Msondongoma na X wa Shilole (Mama ntilie).

    Kwanza kabisa habari zenu waswahili wa Tanzania mliopo Tanzania na ambao mpo nje. Leo nitadadavua aina za umasikini na unaweza kujinasua vipi . Kuna aina tano za umasikini Kama ilivyo aina tano za utajiri. •Umasikini Fedha na Mali •Umasikini wa maarifa na akili •Umasikini wa kiroho...
  4. Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

    Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia. Katika ujumbe wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…