nkane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ndondi: NKANE v/s KIBWANA - Mapungufu mengine kitengo cha Saikolojia Yanga

    Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi. Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya...
  2. Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

    Nimecheki mkono hapa nilidhani masihara Kumbe jamaa wapo serious kweli
  3. pambano la kibwana na nkane

    Yes hili pambano ni kiboko
  4. Denis Nkane ni Bora kuliko Ikangalombo

    Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo Nkane ana skills za football Nkane ana speed Nkane ana akili Anajua ku cut in kuongeza namba ya viungo na washambuliaji inapotakiwa, Ikangalombo anakimbia kama amekatwa kichwa au...
  5. Kumpa sifa nyingi mno Nkane ni mapema mno, mtamharibia

    Mtasababisha akamiwe kupitiliza kwa upuuzi wenu wa kumpa sifa nyingi kwa mechi Moja. Nkane usivimbe kichwa kwa sifa za kipumbavu. Kataa sifa hizo za wajinga ongeza juhudi kazini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…