Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?
# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?
#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??
# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??
Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash...