nipike nini?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Wenzangu huwa mnakula vyakula Gani?

    Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti. Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule - wali, samaki, maharage - Ugali, samaki, dagaa, vegetables, Viazi Kiasi kwamba nimefikia hatua naghairisha kula kwasababu sioni kipya Cha kupika au kupikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…