Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash
https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
Salamu wanajukwaa.
Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani.
Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica.
Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni mwanga na baraka hapa jukwaani.
Heshima mbele,
Nawasilisha.
Nomadix