Ni muda gani unauchukua kujibu baada ya kuusoma au kusubiri majibu kutoka kwa mtu ambaye umemtumia ujumbe mfupi wa maneno (message)? Kwa upande wa mwigizaji Nia Long wa Marekani yeye aliwahi kusema kuwa akimtumia mtu ujumbe alafu ukachukua siku zima kujibiwa hatazungumza na huyo mtu tena kwa...