Yer 46:11 SUV
[11] Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe.
Hukumu hii ilikuwa kwa Misri, nikimwanisha andiko hili linaonyesha hukumu dhidi ya Misri, taifa hili lilikuwa linajivunia nguvu zake za kijeshi na kisiasa.
Hii...