Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya
Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa
Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc.
Namba zetu :0756416149
:0717847599
Wakuu salaam.
Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku.
Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu.
shukurani.